18:00 Liverpool 5 - 0 Swansea
NB: Kwa saa za Afrika ya Mashariki
Bwawa la maini limepata neema ya maji na kufikisha point 39 na kujikita katika nafasi ya 7.
----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Liverpool inazo point 36 ikiwa nafasi ya 9, wakati Swansea inazo point 37 na ipo kwenye nafasi ya 7. Swansea inayo mfungaji kwa jina Michu, ataendeleza kazi yake ama?
No comments:
Post a Comment