Saturday, 17 September 2011
BURUDANI NA MECHI ZA 17 & 18 SEPT 2011
Mechi za 17 Sept 2011 - Ligi kuu ya Uingereza
Aston Villa 1-1 Newcastle
Blackburn 4-3 Arsenal
Bolton 1-2 Norwich
Everton 3-1 Wigan
Swansea 3-0 West Brom
Wolves 0-3 QPR
Mechi za 18 Sept 2011 - Ligi kuu ya Uingereza
Tottenham 4-0 Liverpoll
Fulham 2-2 Man City
Sunderlan 4-0 Stoke
Man Utd 3-1Chelsea
Masumbwi
17 Sept 2011
WBC welterweight title-(MGM Grand, Las vegas)
Floyd Mayweather v Victor Ortiz
-Itakuwaje kama Mayweather akipigwa? Je akishinda itakuwa nafasi ya kukutana na Amir Khan au Pacquiao? Matoke ya pambano la leo litatoa majibu yote. Sababu Mayweather akipoteza labda ndio mwisho wake maana umri nao umekwenda ingawa sio rahisi! Angalia majigambo yake - http://www.youtube.com/watch?v=nPdry_tmFqw&feature=related
-Angalia kasheshe wakati walipopima uzito tarehe 16 Sept 2011 - http://www.youtube.com/watch?v=Zk1Xi0WlPB0
-Kama ni hivi, pambano lenyewe litakuwaje!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment