Uchaguzi mkuu utafanyika jumatatu ya 04 March 2013. Mdahalo huu utahusisha maswala ya Uchumi, Ardhi na Mali asili na Sera za mambo ya nje.
Washiriki wote wa mdahalo wa kwanza uliofanyika 11 Feb 2013, wamethibitisha kushiriki isipokuwa mgombea wa Jubilee Alliance, Uhuru Kenyatta. Swala la ardhi linamuhusu Bw Kenyatta kutokana na kumiliki kiasi kikubwa cha ardhi, hivyo uenda ikachangia kutoshiriki kwake.
Mdhahalo huo utaanza saa 19:30 kwa saa za Afrika ya mashariki, na utarushwa hewani kupitia vyombo mbali mbali vikiwemo mitandao ya www.nation.co.ke , www.ntv.co.ke , ..
No comments:
Post a Comment