Sunday, 24 February 2013

MECHI ZA 24 FEB 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

16:30 Man City 2 - 0 Chelsea
16:30 Newcastle 4 - 2 Southampton

NB: Saa za Afrika ya Mashariki

Chelsea sasa ni kitowewo cha Tottenham na Arsenal!

Man City imepunguza kasi ya Man Utd na kutoa nafuu kwa Tottenham na Arsenal.

Msimamo wa top 10 (point mabanoni): 1.Man Utd (68), 2.Man City (56), 3.Chelsea (49), 4.Tottenham (48), 5.Arsenal (47), 6.Everton (42), 7 West Brom (40), 8.Liverpool (39), 9.Swansea (37), 10.Stoke (33)

------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kazi kwa Man City yenye  point 53, kupunguza tofauti ya point 15 dhidi ya Man Utd. Nayo Chelsea inahitaji kujizatiti kwenye nafasi ya 3, la sivyo Tottenham na Arsenal zinahemea mgongoni!!

Kesho: West Ham Utd v Tottenham

No comments:

Post a Comment