23:00 West Ham Utd 2 - 3 Tottenham
NB: Saa za Afrika ya mashariki
Tottenham imefikisha point 51 na kupanda kwenye nafasi ya 3 na kuisogeza Chelsea chini kwenye nafasi ya 4.
----------------------------------------------------------------------------------------------------
Baada ya Chelsea kupewa kipigo na Man City, ni zamu ya Tottenham kujizolea point tatu ili kuchukua nafasi ya tatu, kutoka bila point ni zawadi kwa Arsenal.
Kesho: Kombe la Fa mzunguko wa 5 : Everton v Oldham
No comments:
Post a Comment