Friday, 14 October 2011

WACHEZAJI WA ERITREA WAKATALIWA UKIMBIZI TZ

Wachezaji wa Eritrea waliozamia baada ya michezo ya Cecafa wamekataliwa maombi ya ukimbizi.

Kumbe Eritrea ni nchi ya utawala wa chama kimoja, hivyo vijana wanakimbia ukandamizaji, umaskini,nk. Wachezaji 13 wa Red Sea FC walizamia baada ya mashindano hayo na kukimbilia office za UNHCR kuomba hifadhi.

Serikali ya Tanzania imedai wakimbizi hao wanatafuta maisha bora.

gonga hapa for more-  http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-15293132

No comments:

Post a Comment