Thursday, 13 October 2011

ZOGO KUHUSU UJAUZITO WA BEYONCE!


Zogo ni kwamba uenda ujauzito wake ni fake!

Baada ya kutambulisha ujauzito wake (angalia- BEYONCE AONYESHA KIBENDI ), wapo wanaodai eti ni fake!  Kwamba anao mpango wakuadopt mtoto, ama atamlipa mtu amzalie mtoto. Wengine wanasema labda anafake ili kuongeza mauzo ama kipato.

Kwa mtazamo wangu nadhani ni mjamzito sababu maumbile yake mfano kifua (boobs) nk yamebadilika  na pia labda ametumia mavazi kuongeza uonekano wa ujauzito wake.

Wasemaji wa B wamekanusha tetesi hizo. Nani wa kumuamini? Tusubiri siku ya siku dogo aje duniani.

Gonga hapa kujua zaidi  - http://www.youtube.com/watch?NR=1&v=PI61IWMS-VU
                                            
                                         -  http://www.youtube.com/watch?v=d37ej3zAneQ

No comments:

Post a Comment