Saturday 15 June 2013

LADY JAYDEE NA SHEREHE ZILIZOFANA, MWANA FA VIPI ?

Lady Jaydee (Judith Wabura) uenda akaibuka kuwa mbabe dhidi ya Mwana Fa, kutokana na mafanikio aliyopata katika sherehe zake za kutimiza miaka 13 ya shughuli zake za muziki ambapo pia amezindua albamu yake mpya ya Nothing But The truth, pamoja na kusherehekea siku yake ya kuzaliwa (15 June).


Pichani: kushoto ni msururu wa wapenzi wa Lady Jaydee wakiingia kwenye sherehe, na kulia ni eneo la ndani lililojaa washabiki waliomuunga mkono Lady Jaydee.

Mwana FA imekaaje kwake? .........

No comments:

Post a Comment