Wednesday 5 June 2013

RASIMU YA KATIBA MPYA


Baadhi ya mapendekezo; Muungano wa Serikali tatu (Muungano, Tanganyika na Zanzibar), kuundwa kwa Tume huru ya Uchaguzi, Spika na naibu wake wasiwe wabunge ama viongozi wa vyama vya siasa,

Mengine ni, umri wa mgombea urais kuanzia miaka 40, mshindi wa uchaguzi wa rais kutangazwa akipata zaidi ya 50%, rais kupunguziwa madaraka ya kuteua viongozi wa ngazi za juu.

Kupata nakala yako, twanga link http://www.katiba.go.tz/attachments/article/182/Rasimu%20_Final_%20(1).pdf

No comments:

Post a Comment