Sunday 5 May 2013

MAYWEATHER AMTWANGA GUERRERO

 Floyd Manyweather amefanikiwa kumtwanga Robert Guerrero kwa ushindi wa 117-111, 117-111, 117-111 (Unanimous decision) kwenye mpambano uliofanyika katika ukumbi wa MGM Grand, Las Vegas, 04 May 2013.


Kwa matokeo hayo Mayweather ameendeleza rekodi yake ya kushinda mapambano yote bila kupoteza hata moja (44-0)

Pichani Mayweather (mwenye kaptula ya manjano)  akimsulubu Guerrero bila huruma.

Nini kitafuata ?..............

No comments:

Post a Comment