Monday 25 February 2013

MECHI ZA 25 FEB 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

23:00 West Ham Utd 2 - 3 Tottenham

NB: Saa za Afrika ya mashariki

Tottenham imefikisha point 51 na kupanda kwenye nafasi ya 3 na kuisogeza Chelsea chini kwenye nafasi ya 4.

----------------------------------------------------------------------------------------------------
Baada ya Chelsea kupewa kipigo na Man City, ni zamu ya Tottenham kujizolea point tatu ili kuchukua nafasi ya tatu, kutoka bila point ni zawadi kwa Arsenal.

Kesho: Kombe la Fa mzunguko wa 5 : Everton v Oldham

No comments:

Post a Comment