Wednesday 23 January 2013

MECHI ZA 23 JAN 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

22:45 Arsenal 5 - 1 West Ham Utd

NB: Saa za Afrika Mashariki

Kipindi cha kwanza West Ham ilipata bao dk 18, baada ya dk 4 Podolski akaipatia Arsenal bao la kusawazisha.

Kipindi cha pili Arsenal ilifanya karamu ya magoli, ndani ya dk mbili Giroud akafunga bao la pili, na baada ya dk 6 Cazolla akaongeza bao la tatu, baada dk moja Walcott akaongeza bao la nne, alafu baada ya dk tatu Giroud akatungua bao la tano aka sherehe ikaisha!!!!

-----------------------------------------------------------------------------------------------------
Arsenal ipo nafasi ya 6 ikiwa na point 34. Point tatu zitaisaidia Arsenal kujiimarisha kwenye nafasi ya 6 na kusubiri mechi zijazo.

West Ham ipo nafasi ya 12 ikiwa na point 27. Ushindi ni muhimu kwani point tatu ni zitaisogeza mpaka nafasi ya 10.  

No comments:

Post a Comment