Wednesday 23 January 2013

HAKIMU AMWACHIA MBUZI ( GARY THE GOAT ) HURU BAADA YA KUKOSEKANA USHAIDI !!!!!

Hakimu nchini Australia, imemuachia huru mbuzi maarufu kama 'Gary the Goat' baada ya kukosekana ushahidi wa kutosha!

Mwezi August 2012, polisi walimkuta Gary akila maua katika eneo Museum na kumlima mmiliki wa mbuzi huyo faini.

Baada ya kupitia madai hayo kwa kina hatimaye hakimu akaamua kumwachia Gary huru, kwa madai kwamba hakuna ushaidi wowote kuwa Gary alikwenda katika eneo hilo kwa nia ya kula mimea hiyo.

Pia mbuzi huyo hakuitajika  kutoa ushaidi wowote!!!!!!!

Mwangalie mbuzi Gary na msikilize mmiliki wake Jimbo baada ya hukumu .............
 

No comments:

Post a Comment