Saturday, 22 December 2012

MECHI ZA 22 DECEMBER 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

15:45 Wigan Athletics  0 - 1 Arsenal
18:00 Manchester City 1 - 0 Reading
18:00 Newcastle Utd 1 - 0 Queens Park Rangers
18:00 Southampton 0 - 1 Sunderland
18:00 Tottenham Hotspurs 0 - 0 Stoke City
18:00 West Bromwich Albion 2 - 1 Norwich City
18:00 West Ham Utd 1 - 2 Everton
20:30 Liverpool 4 - 0 Fulham

NB: Saa za Afrika Mashariki

Chelsea inaweza kuchukua nafasi ya tatu kama itashinda kesho dhidi ya Aston Villa. 

Msimamo wa top 10 ulivyo (point mabanoni): 1.Man Utd (42), 2.Man City(39), 3.Arsenal(30), 4.Everton(30) 5.Tottenham(30), 6.West Bro(30), 7.Chelsea(29), 8.Liverpool(25), 9.Stoke(25), 10.Norwich(25)

Kesho: Swansea v Manchester Utd, Chelsea v Aston Villa

No comments:

Post a Comment