16:30 Swansea 0 - 0 Liverpool
18:00 Southampton 2 - 0 Newcastle Utd
19:00 Chelsea 0 - 0 Manchester City
19:00 Tottenham Hotspurs 3 - 1 West Ham Utd
NB:Saa za Afrika Mashariki
Hakuna mbabe kati ya Chelsea na Man City! Liverpool imeambulia point 1 na kufikisha point 16 ipo nafasi ya 11, sio mbali saaana na Arsenal!
Top 8 ilivyo (point mabanoni): 1.Man Utd (30), 2.Man City (29), 3.West Bro ( 26), 4.Chelsea (25), 5.Everton (21), 6.Arsenal (20), 7.Tottenham (20), 8.West Ham (19)
No comments:
Post a Comment