Saturday 1 September 2012

MCHUNGAJI LWAKATARE NA JUMBA LAKE

Kwa wanaoitwa watumishi wa watu, mfano wabunge, mawaziri, wachungaji, mapadre, mashehe, nk.  maisha yao yanatarajiwa yasitofautoane na ya raia wa kawaida.

Mbunge wa viti maalumu wa CCM, Mh Mchungaji Getrude Lwakatare (CCM) amezindua jumba lake mjini Dar es salaam. Jumba hilo lina ofisi, sehemu ya kufanyia mazoezi, salon, studio, sehemu ya kufanyia mikutano nk.


Jumba la Mh. Mchungaji Lwakatare




Na hiki ni kitanda kilichopo ndani ya jumba la Mchungaji Lwakatare


Watoto wa mitaani wamepiga mbavu kwenye bed lao eneo la Morocco, pembezoni mwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es salaam.(picha hii ni kwa hisani ya sufianimafoto.blogspot)  

Tujiulize, familia ngapi zishinda na njaa ama hazina mahali pa kulala angalau godoro ama net? Watoto wangapi wa mitaani wanahitaji misaada ya chakula, mavazi, matibabu, nk?

This is not fair!

Kuona undani wa jumba hilo gonga link------ http://williammalecela.blogspot.co.uk/2012/08/nyumba-ya-mchungaji-lwakatare-mjini-dar.html?spref=fb


No comments:

Post a Comment