Thursday 28 June 2012

MECHI YA 28 JUNE 2012 - UEFA EURO 2012

21:45 Germany 1-2 Italy

NB: Saa za Afrika Mashariki

Italy yaingia fainali!

Italy wametoa fundisho kwa Gemarny kwa kutoa kipigo cha uhakika. Baloteli ndiye aliye pachika magoli yote mawili kwenye dakika ya 20 na 36 za kipindi cha kwanza.

Germany waliamka usingizini na kupata bao la kufuta machozi katika dakika ya 90.

Ushindi wa Italy ni onyo kwa Spain.


---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni nusu fainali ya pili, mshindi ataingia fainali kupambana na Spain siku ya Jumapili .

Fainali: Jumapili, 01 July 2012 - Spain v Germany

No comments:

Post a Comment