Monday 21 May 2012

WACHAWI WAKAMATWA BAADA YA UNGO KUPATA HITILAFU ZA KIUFUNDI

Huko Mwanza vijana wawili wenye imani za kichawi wamekamatwa baada ya ungo a.k.a chombo cha usafiri na matunguri kukwama.

Vijana hawa walitumwa na wakuu wao kwenda kuchukua watu watatu a.k.a cargo ili wakatolewe kafara.

Ungo wa mmoja wao ulipata hitilafu za kiufundi akatiwa nguvuni, mwenzake naye akamfuata ili kujua 'what's going down', lakini wapiga sala a.k.a manabii a.k.a watumishi wa Mungu wakawazidi nguvu!




No comments:

Post a Comment