Friday, 11 May 2012

LIGI KUU YA UINGEREZA - MSIMAMO ULIVYO NA MECHI ZA FUNGA MSIMU 2011 /12

Baada ya safari ndefu msimamo na point kabla ya mechi za mwisho:-
1.Man City----86
2.Man Utd----86
3.Arsenal-----67
4.Tottenham--66
5.Newcastle--65
6.Chelsea----61
7.Everton----53
8.Liverpool--52
9.Fuham------52
10.West Brom---47
11.Sunderland--45
12.Swansea----44
13.Norwich----44
14.Stoke City--44
15.Wigan------40
16.Aston Villa--38
17.QPR---------37
18.Bolton-------35
19.Blackburn--31
20.Wolves------25


Kati ya Man City na Man Utd ipi kuchukua ubingwa? Arsenal, Tottenham, na Newcastle ni timu gani kuchukua nafasi ya 3 na 4?  Kati ya Bolton, QPR na Aston Villa ni timu gani kushuka daraja  kuungana na Wolves na Blackburn?

Zifuatazo ni mechi za kufunga msimu zitakazo chezwa Jumapili, 13 May 2012:-

Chelsea v Blackburn, Everton v Newcastle, Man City v QPR, Norwich v Aston Villa, Stoke v Bolton, Sunderland v Man Utd, Swansea v Liverpool, Tottenham v Fulham, West Bromwich v Arsenal, Wigan v Wolves

No comments:

Post a Comment