17:00 Chelsea 2-1 Blackburn
17:00 Everton 3-1 Newcastle
17:00 Man City 3-2 QPR
17:00 Norwich 2-0 Aston Villa
17:00 Stoke 2-2 Bolton
17:00 Sunderland 0-1 Man Utd
17:00 Swansea 1-0 Liverpool
17:00 Tottenham 2-0 Fulham
17:00 West Bromwich 2-3 Arsenal
17:00 Wigan 3-2 Wolves
NB Saa za Afrika Mashariki
Ndoto ya Man Utd yapeperuka baada ya Man City kukurupuka usingizini!
Wakati Man Utd wakujia wamechukua ubingwa baada ya kipenga cha mwisho, Man City iliamka usingizini kwa kubadili sare ya 2-2 na kuwa ushindi wa 3-2 katika dakika za nyongeza na kunyakua ubingwa. Mara ya mwisho Man City kushinda ligi hii ilikuwa 1968, na hii ni mara ya 3.
Arsenal yapata uhakika kucheza Ligi ya ya Mabingwa msimu ujao.
Liverpool yafunga msimu kwa kupata kichapo!
Bolton, Blackburn, na Wolve zashuka daraja.
Msimamo ulivyo ( point mabanoni):-
1.Man City(89), 2.Man Utd(89), 3.Arsenal(70), 4.Tottenham (69), 5.Newcastle(65),
6.Chelsea(64), 7.Everton(56), 8.Liverpool(52), 9.Fuham(52), 10.West Brom(47),
11.Swansea(47), 12.Sunderland(45), 13.Norwich(44), 14.Stoke City(45), 15.Wigan(43),
16.Aston Villa(38), 17.QPR(37), 18.Bolton(38), 19.Blackburn(31), 20.Wolves(25)
Kwa mechi za CAF kombe la shirikisho angalia hapo juu.
No comments:
Post a Comment