Sunday 6 May 2012

MECHI ZA 06 MAY 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

15:30 Newcastle 0-2 Man City
16:00 Aston Villa 1-1 Tottenham
16:00 Bolton 2-2 West Bromwich
16:00 Fulham 2-1 Sunderland
16:00 QPR 1-0 Stoke
16:00 Wolves 0-0 Everton
18:00 Man Utd 2-0 Swansea

NB:Saa za Afrika Mashariki

Bingwa wa Ligi kuu ya Uingereza na timu zitakazo shuka daraja kujulikana mechi za funga dimba 13 May 2012.

Timu zilizo  hatarini kushuka daraja kuungana na Wolves ni - Blackburn, Bolton, Wigan, QPR na Aston Villa  

Hatma ya Arsenal kujua kama itacheza UEFA itapata jibu 13 May 2012, baada ya Aston Villa kuibana Tottenham na Man City kuibamiza Newcastle. 

Msimamo wa ligi ulivyo baada ya mechi (point mabanoni)-
1.Man City(86), 2.Man Utd(86), 3.Arsenal(67), 4.Tottenham(66), 5.Newcastle(65), 6.Chelsea(61), 7.Everton(53), 8.Fuham(52), 9.Liverpool(49), 10.West Brom(47), 11.Sunderland(45), 12.Swansea(44), 13.Norwich(44), 14.Stoke City(44), 15.Aston Villa(38), 16.QPR(37), 17.Wigan(37), 18.Bolton(35), 19.Blackburn(31), 20.Wolves(25)



-------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Newcastle na Tottenham zinahitaji ushindi kuididimiza Arsenal, katika juhudi za kunyakua nafasi ya 3 na ya 4 ili kuwa na hakika ya kucheza michezo ya UEFA msimu ujao.

Man City yenye point 83 lazima ishinde kama inataka kutwaa ubingwa wa Ligi kuu ya Uingereza endapo Man Utd itafungwa,kinyume chake ni nafasi ya Man Utd kutwaa ubingwa huo. 

Kati ya Aston Villa, Bolton na QPR ni timu ipi itaungana na Wolves kushuka daraja?  

Kesho: Blackburn v Wigan

No comments:

Post a Comment