14:45 Arsenal 0-0 Chelsea
17:00 Aston Villa 0-0 Sunderland
17:00 Blackburn 2-0 Norwich
17:00 Bolton 1-1 Swansea
17:00 Fulham 2-1 Wigan
17:00 Newcastle 3-0 Stoke
19:30 QPR 1-0 Tottenham
NB: Saa za Afrika Mashariki
Arsenal yashindwa kufurukuta, Chelsea inazidi kupoteza matumiani ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao!
Newcastle njiani kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Tottenham yaendelea kurudi nyuma, Wigan yapewa kichapo!
Msimamo ulivyo -top 10 (point mabanoni):
1.Man Utd (82), 2.Man City (77), 3.Arsenal (65), 4.Newcastle, 5.Tottenham(59) 6.Chelsea(58), 7.Everton (47), 8.Liverpool(46), 9.Fulham (46), 10.Sunderland (44)
---------------------------------------------------------------------------------------------------
Arsenal inahitaji ushindi kwa udi na uvumba dhidi ya Chelsea , ili kuongeza tofauti ya point na kujihakikishia nafasi ya kucheza ligi ya Mabingwa msimu ujao, nafasi ambazo zinatafutwa na Tottenham, Newcastle na Chelsea.
Wigan imetoa kipigo kwa Man Utd na Arsenal mechi zilizopita, itaendeleza somo leo dhidi ya Fulham?
Bolton ipo nafasi ya 18 na point 29, inahitaji kujiondoa kwenye hatari ya kushika daraja! Kushinda ni zawadi kwa Muamba aliyetoka hospitali baada ya kulazwa kwa takribani mwezi moja baada ya kuanguka ghafla.
Kesho: Man Utd v Everton, Liverpool v West Bromwich, Wolves v Man City
No comments:
Post a Comment