Tuesday 10 April 2012

MECHI ZA 10 APRIL 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

22:00 Blackburn 2-3 Liverpool

NB: Saa za Afrika Mashariki

Liverpool waponea chupuchupu kupata kipigo, wafikisha point 46 ingawa bado wamebakia
kwenye nafasi ya 8.

Blackburn inachungulia mlango wa kushuka daraja!

--------------------------------------------------------------------------------------------------
Liverpool aka Bwawa la maini ipo nafasi ya 8 na point 43, bwawa litaendelea kukauka ama leo mvua itanyesha?

Blackburn ina point 28 kwenye nafasi ya 18 ama ndani ya timu tatu zitakazo shuka daraja, watakubali kufungwa? 

No comments:

Post a Comment