Monday 2 April 2012

MECHI ZA 02 APRIL 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

22:00 Blackburn 0-2 Manchester Utd

NB: Saa za Afrika Mashariki

Kwa mtaji huu M Utd inafukua vumbi na kutoa bye bye kwa Man City kwamba safari ya kuchukua ubingwa imepamba moto.

Blackburn walibana muda wote lakini wakalegeza wenyewe dk 10 za mwisho na kupigwa bao dk 81 na 86, kwa matokeo haya wameshuka nafasi moja chini toka 19 mpaka nafasi ya 18 na point zao 28.

Msimamo wa Top 10 (point mabanoni)-
1.Man Utd (76), 2.Man City (71), 3.Arsenal (58), 4.Tottenham (58), 5.Chelsea (53), 6.Newcastle (53), 7.Everton (43), 8.Liverpool (42), 9.Sunderland (41), 10.Fulham (39)  

---------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni nafasi ya M Utd kupiga kasia aka kutimua vumbi na kuiacha Man City kwa point 5!

Je Blackburn watatoa mimancho na kukubali kushuka daraja kwa faida ya M'Utd kuchukua ubingwa?

Mechi za kesho 03 April 2012 - UEFA Ligi ya Mabingwa: Barcelona v AC Milan, Bayern Munich v Marseille

Mechi za Jumatano 04 April 2012 - UEFA Ligi ya Mabingwa: Chelsea v Benfica , Real Madrid v Apoel Nicosia

No comments:

Post a Comment