Katika filamu hii, Invisible Children wanaelezea mafanikio yaliyo patikana baada ya kutoa sehemu ya kwanza ya filamu Kony 2012. Pia wanaelezea malengo ya baadae na kukumbusha ulimwengu kwamba tarehe 20 April 2012 ni siku maalumu ya kumtangaza Kony kila kona ya dunia.
No comments:
Post a Comment