Thursday 15 March 2012

MECHI ZA 15 MARCH 2012 - UEFA LIGI YA EUROPA

21:00 Athletic Bilbao 2-1 Man Utd
21:00 Hannover 96 4-0 Standard Liege
21:00 PSV Eind'ven 1-1 Valencia
21:00 Udinese 2-1 AZ Alkmaar
23:05 Besiktas 0-2 Atletico Madrid
23:05 Man City 3-2 Sporting Lisbon
23:05 Olympiakos 1-2 M Kharkiv
23:05 Schakle 04  4-1 FC Twente

NB: Saa za Afrika Mashariki

Miamba ya Uingereza yatolewa kombe la Europa!!!!!!

Man City  walifungwa 1-0 mechi ya kwanza, wameshinda mechi hii  3-2 na kufanya matokeo kuwa 3-3, hivyo Sporting Lisbon wamesonga mbele kwa goli la ugenini. Man City wamefungasha virago kama walivyo Man Utd. 

Baada ya kutolewa ligi ya mabingwa wa Ulaya, Man Utd imetolewa hata kwenye ligi ya Europa aka UEFA ndogo! Mechi ya kwanza Man Utd walifungwa 3-2, na mechi hii ya marudiano wamefungwa 2-1, hivyo wametolewa kwa jumla ya mabao 5-3.

...........................................................................................................................................
Leo ni siku ya kuona miamba inafungasha virago ama kusonga mbele kwenye mashindano haya! Nini kitatokea?

No comments:

Post a Comment