Saturday 25 February 2012

MECHI ZA 25 FEB 2012 LIGI KUU YA UINGEREZA

18:00 Chelsea 3-0 Bolton
18:00 Newcastle 2-2 Wolves
18:00 QPR 0-1 Fulham
18:00 West Bromwich 4-0 Sunderland
18:00 Wigan 0-0 Aston Villa
20:30 Manchester City 3-0 Blackburn

NB: Saa za Afrika Mashariki

Chelsea imesogea kwenye nafasi ya 4 ikiwa na point 46 ,kazi kwa Arsenal kesho! Bolton wanachungulia mlango wa kushuka daraja.

Pamoja na kuongoza kwa mabao mawili mpaka mapumziko, Newcastle imeambulia sare na kubakia nafasi ya 6 ikiwa na 43, Wolves wamevimba vizuri na kusawazisha kipindi cha pili na kusogea nafasi moja juu, (16).

Man City imepaa na kufikisha point 63 na kuwaachia vumbi Man utd kwa tofauti ya point 5. Magoli ya Baloteli dk ya 30 kipindi cha kwanza, Aguero dk ya 8 kipindi pili na Dzeko dk ya 36 kipindi cha pili yamekatisha matumaini ya Blackburn kucheza Premier ligi msimu ujao.

Kesho: Man Utd watatoa jibu gani dhidi ya Norwich? Arsenal itapunguza kasi ya Tottenham ama kama kawa kufungwa? Vuta ni kuvute kati ya Stoke iliyopo nafasi ya 14 dhidi ya Aston Villa iliyopo nafasi ya 15.

No comments:

Post a Comment