Sunday 12 February 2012

MECHI ZA 12 FEB 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

16:30 Wolves 1-5 West Bromwhich
19:00 Aston Villa 0-1 Manchester City

NB: Saa za Afrika Mashariki

Man City wamerudi kileleni kuongoza ligi baada ya ushindi wa leo kwa kufikisha  point 60, na kuwarudisha Man Utd kwenye nafasi ya pili kwa tofauti ya point 2.

W'Brom wamefanya karamu ya mvua ya magoli kama Tottenham jana, na kuwaonyesha Wolves mlango wa kushuka daraja ulivyo!

No comments:

Post a Comment