Monday, 13 February 2012

GRAMMY 2012 YAMKUMBUKA WHITNEY HOUSTON

RIP WHITNEY HOUSTON

Whitney alitegemewa kuhudhuria sherehe za Grammy Award 2012, jumapili ya 12 Feb 2012. Lakini kwa mapenzi ya mungu, Whitney hakufanikiwa kuiona siku hiyo na kufariki dunia usiku wa kuamkia sherehe hizo.

Kwa majozi makubwa sherehe hizo zimefanyika kwa kumkumbuka na kumuenzi Whitney aliyefariki akiwa na umri wa miaka 48.

Jennifer Hudson aliimba wimbo maarufu wa Whitney, 'I will always love you' kama sehemu ya kumkumbuka na kumuenzi  W.H,................................................

No comments:

Post a Comment