Sunday 15 January 2012

NYAMA ZA VIWANDANI USABABISHA SARATANI!

Je unapenda kula bacon, sausage, nyama za makopo nk?

Watafiti nchini Sweden wamebaini kwamba kuna uhusuno kati ya ugonjwa wa Saratani (Panceatic Cancer) na ulaji wa nyama za viwandani (processed meat) mfano bacon na sausages.

Wamegundua kwamba ulaji wa kila 50g (ukubwa wa sausage moja ) ya nyama za viwandani uongeza hathari ya kupata saratani kwa asilimia 19, kwa hiyo 100g athari itakuwa asilimia 38 !

Kabla ya hapo iligunduliwa kwamba kuna uhusiano kati ya nyama (red meat), nyama za viwandani (processed meat) na Saratani ya Matumbo (Bowel Cancer).

Ahhh Nyama Chomaaa .........!!!!


Dalili zake ? Kujua zaidi twanga link- http://www.bbc.co.uk/news/health-16526695

No comments:

Post a Comment