Monday 16 January 2012

MECHI ZA 16 JAN 2012 LIGI KUU YA UINGEREZA

23:00 Wigan 0-1 Man City

NB: Saa za Afrika Mashariki


-Mechi ya leo ni kituko,imekutanisha timu inayoongoza  na inayoshika mkia kwenye msimamo wa ligi! 

-Man City imepata point tatu muhimu na kuendeleza harakati za kuongoza ligi kwa kufikisha point 51 na kuwaacha Man Utd yenye point 48.

No comments:

Post a Comment