Wednesday 11 January 2012

MECHI ZA 11 JAN 2012 - KOMBE LA CARLING

22:45 Man City 0-1 Liverpool

NB: Saa za Afrika Mashariki


-Hongera kwa  Liverpool, imelipa kisasi na kuwatwanga Man City nyumbani!

-Liverpool a.k.a Bwawa la maini a.k.a Mashetwani wekundu, walidundwa 3-0 na ManCity kwenye mechi ya Premier League, 3 Jan, na kushinda 5-0 dhidi ya Oldham kombe la FA, 6 Jan.

-Man City baada ya kuwapiga Liverpool 3-0, walipigwa na Man Utd 3-2, tarehe 8 Jan.

Man City hali si shwari, hata kwenye Premier League kuna dalili za kusuasua, ukichukulia kasi ya Tottenham wameshinda mechi ya leo dhidi ya Everton, kazi ipo.

No comments:

Post a Comment