
Maswali:
-Nini maana ya mazingira ya maelewano? Bila maelewano kusingekuwepo mazungumzo!
-Kuendelea kuboresha, kwa utaratibu gani?
-Mawasiliano na mashauriano ya mara kwa mara,lini na kwa kipindi gani?
-Je ,inawezekana CHADEMA wametulizwa ili kuepusha maandamano ya kupinga muswada wa katiba siku ya sherehe za miaka 50 ya uhuru?
Ni kwamba 'The devil is in the details' wananchi tunapaswa kufahamishwa yaliyojadiliwa na yaliyopo ndani ya mapendekezo ya muswada wa bunge na yale yaliyopendekezwa na CHADEMA.
No comments:
Post a Comment