Sunday 27 November 2011

ANTI VIRUS - DEIWAKA / MR II

Umeshawahi kusikiliza vigongo vya Anti-virus?

Wanaharakati wametoa maneno makali, lakini cha muhimu wasanii hawa wanaelezea hisia zao na vikwazo wanavyo kumbana navyo katika harakati za kuendeleza muziki na kujipatia riziki!

Najua utashangaa kwanini wametumia maneno makali! Sio bure, ni kutokana na kupuuzwa kwa vilio vyao, hivyo angalau hatua hii imewafanya wahisika, wapenzi muziki  wa kizazi kipya na hata maadui kuibuka usingizini na kusikia vilio vyao.

Je wanaharakati hawa wamefanikiwa nini mpaka sasa? Na mlengwa mkuu amejirekebisha? Kabla ya kujibu hayo inabidi kusikiliza mikwanja mmoja baada ya mwingine.

Kupata ujumbe wao angalau kiduchu twanga link-  http://deiwakaworld.com/index.php?option=com_content&view=section&layout=blog&id=6&Itemid=161

No comments:

Post a Comment