Thursday 20 October 2011

GADDAFI 'THE RAT' AFIKA MWISHO


Ukiua kwa upanga...... ..... !

Aliwaita waasi (NTC) panya (rat) nk. cha kushangaza alikutwa amejificha kwenye mitaro kama panya na majeshi ya NTC awakufanya kosa wakamtoa uhai, alichokutwa nacho ni bastola (golden), suitcase (samsonite) nk, na wasaidizi wake.

Sasa mwisho wake umefika, waasi NTC wamechukua nchi yote na wanachi watatulia na kuishi kwa amani.


twanga hapa - http://english.aljazeera.net/video/middleeast/2011/10/2011102014201566639.html

                      - http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-15389550

                      - http://www.dailymail.co.uk/news/article-2051361/Gaddafi-dead-Dictator-begged-life-summarily-executed.html

No comments:

Post a Comment