Thursday 18 August 2011

USAFIRISHAJI WANYAMA PORI NJE WAPIGWA STOP!

Hii ni habari nzuri, baada ya wapinzani kupiga kelele hatimaye Waziri mkuu  Pinda amesitisha usafirishaji wa wanyama pori nje ili kuwezesha uchunguzi kufanyika.

Ufisadi huo ulifichuliwa mwaka jana na gazeti la Gardian lakini serikali aikuchukua hatua yoyote, na sasa baada ya wabunge wa upinzani kupiga kelele imebidi uchunguzi ufanywe ili kujua ukweli wa swala hilo, ambapo inasemekana wanyama pori walipitiswa uwanja wa KIA 24/November/ 2010 kwa ndege iliyosajiliwa Qatari.

Inasemekana ufisadi huo uliusisha vigogo serikalini  na wafanyabiasha wakubwa

for more- http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-14577065

No comments:

Post a Comment