Wednesday 10 August 2011

UNYANYASAJI WA WATOTO

Ni habari nzuri kwa watoto na jamii kwa ujumla, kwani unyanyasaji wa watoto umekuwa desturi na ni sehemu ya tamaduni kwa makabila mbalimbali Tanzania.

Matokea ya report hii ya UNICEF yatasaidi kutokomeza tabia chafu wanazofanyiwa watoto, mafano kulazimisha watoto kuingia kwenye ndoa bila ridhaa na hata kabla ya kufika miaka 18, ukeketaji nk.

for more- http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-14468277

No comments:

Post a Comment