Saturday 6 August 2011

MEREMETA NI UTATA MTUPU!

Kumbe ufisadi unazidi kufichuliwa, je kama isingekuwa mfumo wa vyama vingi haya tungeyajua lini?

Meremeta Co iliundwa na serikali ya tanzania kwa kushirikiana na Triennex Pty ya Afrika kusini, kwa mkopo wa USD10 m. Lakini malipo yake yaliyofanywa ni USD132m

Serikali imekuwa ikikataa uchunguzi wa malipo hayo yaliyofanywa na Bank of Tanzani (BoT) kwa niaba ya Meremeta Co kwenda NedBank ya Afrika Kusini.

Utata hapo ni maelezo ya kuhusu ziada ya USD122m (ambayo ni tofauti ya 10m na 132m), serikali inadai ni sbb za kiusalama! Usalama ama ufisadi?

for more info - http://www.mwananchi.co.tz/component/content/article/37-tanzania-top-news-story/14258-bunge-kuchunguza-ufisadi-wa-sh200-bilioni-za-meremeta.html

No comments:

Post a Comment