Sunday 7 August 2011

CHADEMA WATIMUA MADIWANI !

CHADEMA imewafuta uanachama madiwani watano walioshindwa kutimiza masharti baada ya kuingia kwenye muafaka wa mgogoro wa uchaguzi wa umeya wa manispaa ya Arusha bila idhini ya chama.

Pamoja na hatua hiyo mwenyekiti wa CHADEMA  Mh. Mbowe na Mh. Waziri mkuu Pinda wameafikiana utaratibu wa kutafuta suluhu ya mgogoro huo.

Majina ya madiwani na more info- http://issamichuzi.blogspot.com/2011/08/taarifa-kuhusu-maamuzi-ya-kamati-kuu-ya.html
                                                    - http://www.thehabari.com/habari-tanzania/chadema-wafanya-uamuzi-mgumu-watimua-madiwani-wake-watano-arusha

No comments:

Post a Comment