Manager wa Arsenal atafikishwa mbele ya kamati ya nidhamu ya UEFA jumatatu , na uenda akapigwa fine kwa kuwasiliana na coach msaidizi (bench) wakati wa mechi kati ya Arsenal na Udenise iliyofanyika jumanne wiki hii.
for more - http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/14553180.stm
Mechi za Ligi kuu ya Uingereza - http://news.bbc.co.uk/sport1/hi/football/eng_prem/fixtures/default.stm
No comments:
Post a Comment