Friday 12 August 2011

JELA MIEZI 6 KWA KUMTUMIKISHA MTANZANIA KAMA MTUMWA LONDON

Mtaalamu wa mambo ya UKIMWI  Rebecca Balira (45) amekutwa na hatia ya kumtumikisha Mtanzania kama mtumwa.

Mtaalamu huyo aligaramia taratibu zote za  Methodia Mathias (21) kutoka Tanzania kuja UK. Lakini matendo ya R.Balira yalivokithiri yalimfanya Methodia kutafuta msaada wa kisheria kupitia Charity inayowasaidia wafanyakazi kigeni wa majumbani.

Mahakama ya Southwark mjini London ilimuhukumu Rebecca Baliri miezi sita jela na pia kumuhamuru amlipe Methodia fidia ya £3000.


http://www.bbc.co.uk/news/uk-england-london-14496561

No comments:

Post a Comment