Saturday 13 August 2011

ALIYENUSURIKA KUFA MACHAFUKO LONDON


Raia wa Poland aliyesusurika kufa kwa kuruka kutoka gorofa ya kwanza Croydon Mjini London aelezea yaliyomkuta.

Alijirusha kutoka gorofa ya kwanza na kudakwa na maaskari, baada ya gorofa alilikuwa anaishi kushika moto na kukosa kwa kutokea, wakati wa tukio hilo aliwasiliana na dada yake ambaye alimpa wazo la kuruka dirishani.

for more - http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/3750432/Polish-mum-Monika-Konczyk-tells-of-riot-blaze-hell.html

No comments:

Post a Comment