Dk Husein Mwinyi azindua kitabu cha dini cha Mwezi Upi Sahihi Wa Kitaifa.
Swali:
Je nani aliwajibishwa katika maafa ya Gongo La Mboto? Nina hakika viongozi wetu kama ni wawajibaki wazuri, inabidi kuwa na utamaduni wa uwajibikaji inapotokea uzembe.
Taswira gani tunajifunza kupitia katika hatua hii iliyofikiwa?
No comments:
Post a Comment