22:45 Barcelona 0 - 3 Bayern Munich
NB: Saa za Afrika Mashariki
Ni kweli Kwaheri Baca. Hiki ni kifo kitakatifu, bila hata bao la kufutia machozi!!!
Roben alifunga bao la kwanza dk ya 3 ya kipindi cha pili, na dk ya 72 Barcelona wakajifunga kupitia Pique kabla ya Muller kupachika bao la tatu dk 4 baadaye.
Fainali Bayern dhidi ya Dortmund ndani ya Wembley Stadium, 25 May 2013.
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Mechi iliyopita Barcelona ilinyukwa 4 kwa mtungi, nini kitatokea ama ndio kwaheri Baca?
Kesho: Ligi ya Europa : Benfica v Fenerbahce, Chelsea v FC Basel
No comments:
Post a Comment