Wednesday, 1 May 2013

LADY JAY DEE ATOA WOSIA, MARUFUKU CLOUDS KUPIGA MUZIKI WAKE KAMA.......!

 
Lady Jay Dee apandisha mzuka, atoa wosia kuhusu Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga!!

Adai wamemundama tangu atoe album ya pili ya Binti  mwaka 2003.

Asema kama akifa kabla ya watu hao, wasiudhurie msiba wake, na wakiudhuria  wapigwe mawe.

Pia marufuku nyimbo zake kupigwa kwenye radio ya Clouds wala kuongelea kifo chake kama kitatokea kabla ya watu hao.

 

No comments:

Post a Comment