22:45 Real Madrid 2 - 0 Borussia Dortmund
NB: Saa za Afrika Mashariki
Real yatolewa kibingwa, Borrusia yaponea kwenye tundu la sindano!
Mabao yalipatikana dk 7 na dk 2 kabla ya kipenga cha mwisho, kuona hivyo Borussia wakaanza mambo ya poteza muda na kuvuruga moto wa Real. Dortmund imeingia fainali kwa jumla ya ushindi wa 4-3.
Fainali ni 25 May 2013
--------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni marudiano, mechi ya kwanza B' Dortmund iliifyatua Real Madrid kwa mabao 4-1, Real itafurukuta kwenye uwanja wa nyumbani?
Kesho: Barcelona v Bayern Munich
No comments:
Post a Comment