23:05 Benfica 3 - 1 Fenerbahce,
23:05 Chelsea 3 - 1 FC Basel
NB: Saa za Afrika Mashariki
Benfica na Chelsea kucheza fainali, 15 May 2013.
-----------------------------------------------------------------------------------------------------
Mechi ya kwanza Fenerbahce ilishinda 1-0 dhidi ya Benfica, na Chelsea ilishinda 2-1 dhidi ya Basel.
Timu zipi kucheza kucheza fainali? Ni baada ya dk 90, 120 ama matuta jibu kupatikana?
No comments:
Post a Comment