Sunday, 14 April 2013

MECHI ZA 14 APRIL 2013 - LIGI KUU YA UINGEREZA

14:00 Newcastle Utd 0 - 3 Sunderland
16:05 Stoke City 0 - 2 Manchester Utd

NB: Saa za Afrika Mashariki  

Man City na Chelsea zina mechi moja mkononi kufikisha jumla ya mechi 32 zilizochezwa na timu zilizopo kwenye top 10, baada ya hapo ni 6 games to go!

Msimamo wa top 10 (point mabanoni): 1.Man Utd (80), 2.Man City (65), 3.Arsenal (59), 4.Chelsea (58), 5.Tottenham (58), 6.Everton (55), 7.Liverpool (50), 8.West Brom (44), 9.Swansea (41), 10.Fulham (40)     

....kwa mechi za FA angalia habari iliyotangulia hapo chini... 

No comments:

Post a Comment