Sunday, 14 April 2013

MECHI ZA 14 APRIL 2013 - KOMBE LA FA (UINGEREZA)

18:00 Chelsea 1 - 2 Manchester City

NB: Saa za Afrika Mashariki

Manchester City yaingia fainali, kucheza na Wigan 11 May 2013.

Man City ilishinda kombe la Ligi kuu ya Uingereza kwa msimu wa 2011/12, labda ubingwa huo ni ndoto kwa msimu huu, matumaini yao ni kushinda kombe la FA, wataweza?

Chelsea walishinda kombe hili la FA msimu wa 2012, ndoto ya kuibua ushindi huo msimu huu zimeota mbawa, matumaini yamebakia kwenye kombe la Europa, watafika wapi?


-------------------------------------------------------------------------------------------------
Mbabe nani kati ya magwiji hawa atakayecheza fainali dhidi ya Wigan?

Kwa mechi za ligi kuu angalia habari inayofuata hapo juu...

No comments:

Post a Comment