Thursday, 11 April 2013

MECHI ZA 11 APRIL 2013 - EUFA KOMBE LA EUROPA , ROBO FAINAL

19:00 Rubin Kazan 3 -2 Chelsea
22:05 FC Basel 2- 2 Tottenham
22:05 Lazio 1 - 1 Fenerbahce
22:05 Newcastle 1 - 1 Benfica

NB: Saa za Afrika Mashariki

Chelsea, FC Basel, Fenerbahce na Benfica zasonga mbele.

Baada ya kukosekana mshindi ndani ya dk120 kwenye mechi ya FC Basel v Tottenham , penalty zilifuata na FC Basel kushinda penalty 4 dhidi ya 1 ya Tottenham.

-------------------------------------------------------------------------------------------------------
Mechi za kwanza, Chelsea ilishinda 3-1, FC Basel na Tottenham ilitoka sare ya 2-2, Fenerbahce ilishinda 2-0 dhidi ya Lazio, na Benfica ilishinda 2-1 dhidi ya Newcastle.

Timu gani kusonga mbele?

No comments:

Post a Comment